Mmoja kati ya waokoaji jijini Liege nchini Belgium amepotea majini pale alipojaribu kuwasaka wasichana waliodhaniwa kuzama majini.Jitihada za kuwasaka wote zilianza kufanywa pale walipoona muokoaji yule naye kapotea majini humo.Pichani helkopta na boti za polisi zikianza kazi rasmi za utafutaji wa miili hiyo.
0 Comments