TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WETU ALHAJ SALEHE MNYUKWA KILICHOTEKEA LEO MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM,HABARI ZIWAFIKIE NDUGU NA JAMAA WOTE POPOTE PALE MLIPO,TARATIBU NA MIPANGO YA MAZIKO MTAZIPATA HAPO BAADAE.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMIN.
Maganga One.
0 Comments