Kuna madhara mengi sana yanajitokeza ukiangalia hiki choo.Kwa harakaharaka unaweza kuona kwamba mtumiaji akijikata anaweza kupata tetenasi kwa asilimia mia moja,pili mtumiaji hawezi kumaliza haja yake kwa kujinafasi kwani anahisi watu wanamuona.Kwa ujumala mazingira hatarishi kwa kila mmoja,maana Inzi wakitoka chooni hapo watakwenda nyumba ya jirani na kusambaza magonjwa,na mvua ikinyesha kuna hatari nyingine nyingi tu ambazo msomaji unaweza kuzigundua kwa kutazama hii picha.