Kwa nchi kama Swaziland ni jambo la kawaida kwa wasichana wadogo ambao hawakubahatika kuolewa kutembea kama uonavyo pichani.Utamaduni kama huu kule Afrika ya mashariki huwezi kukutana na mambo kama hayo pichani katu.Viongozi wa Afrika wakiungana na kupinga utaratibu huu nafikiri watabadilika na kuachana na mambo ya kizamani na yaliyopitwa na wakati.Hii ni sawa na kumnyanyasa msichana kijinsia.