Zikifanyika jitihada za makusudi juu ya miundo mbinu nchini,hakuna wa kukimbilia nje ya nchini.Kila mmoja anapenda vizuri viwepo nchini mwake,Je Serikali ikisema iagizishe haya mabasi zile nguzo za umeme zilivyo fupi na kupangwa hovyohovyo hakuna hata basi moja litakaloweza kupita salama.
0 Comments