Mfanyabiashara wa dagaa katika soko kuu Kariakoo bwana Jumanne Kakozi,akitoa maelezo kwa Waziri wa Viwanda na Masoko bwana Lazaro Nyilandu alipotembelea sokoni hapo kujionea maendeleo ya soko hilo.Wa pili kutoka kushoto ni Meya wa manispaa ya Ilala Mh: Jerry Slaa.
0 Comments