Linapokuja suala la watu kufeli darasani,kuna mitazamo mingi tunaangalia kwanza kabisaa kwa mfano hii picha hapo jinsi wanafunzi walioketi kwenye dawati moja wakiwa watano badala ya wawili!! kuna sababu ya kati yao kufeli kweli?na kwanini wengine wafaulu na wengine kufeli ikiwa mwalimu mmoja na dawati moja?