Mwanamuziki mkongwe Anna McGalligle kulia ameviambia vyombo vya habari kuwa hatopenda kuimba tena katika uhai wake uliobaki,ila atarudi tena jukwaani kuimba nyimbo ya maombolezi ya dada yake Kate McGalligle(kushoto) aliyefariki mapema mwezi januari mwaka huu akiwa na umri wa miaka 63.Kate amefariki kwa maladhi ya Cancer,Anna aliendelea kusema kuwa kwa kuwa kipindi chote cha muziki alichokuwa akiimba alishirikiana vyema na dada yake,hivyo basi anaona nibora kupumzika kwani kila anapokuwa akiimba peke yake hupatwa na majonzi.