INAPOFIKA KIPINDI CHA KUKATA NA KULA KEKI,JIMAMA HILI HUWA ALITOI CHANCE KWA YOYOTE KUIGUSA KEKI YAKE,NA KINGINE CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA YEYE ANASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE KAMA ALIVYOZALIWA, ETI MADAI YAKE HIVI NDIVYO BIRTHDAY INAVYOTAKIWA.