Wakati sakata la madereva kugomea kuendesha vyombo vya barabarani jijini Mwanza nchini Tanzania likiendelea nchini Belgium katika mji mkuu wao wa Brussels madereva wote waendeshao vyombo vya usafiri nao wamegoma kwa kile kitendo alichofanyiwa dereva mwenzao baada ya kushambuliwa na mwananchi kwa madai aliacha gari kwenye eneo ambalo hakustahili kuliacha.(Pichani vituo vyote vya usafiri vilikuwa havina huduma aina yoyote kwa siku nzima).