Hawa bwana toka wadogo mambo yao sio mchezo,pichani kama unavyowaona jamaa kawakusanya watoto na kuwapa mazoezi ya ajabu,watoto wanapigishwa seat-up utasema watu wazima,hapo wana umri wa miaka sita kila mmoja je wakifikia umri wa miaka 15 watakuwa katika hali gani?Ogopa sana China kwa karate?kung-fu na Judo.