Birmingham City imeshangaza wengi kwa kuichapa Arsenal 2-1 katika fainali ya Kombe la Carling.(Pichani mchezaji Obafemi Martins akishangilia na wenzake baada ya kupachika bao la pili na kuifanya Arsenal kuwa hoi kama ujioneavyo pichani wachezaji wa Arsenal walivyopigishwa magoti).