Watajifunza nini watoto juu ya mambo kama haya,Tunakataza au tunawafundisha mambo mabaya?Kwa utamaduni wetu sio vyema kufanya vitu kama hivi kwa watu kama hawa wenye majina nchini,Sio kama nawachukia hawa wasaniii laahasha...Nachukia vitendo vyao.Kwa jamii yetu haipendezi kuiga tamaduni za wenzetu.Au wananchi nakoseaaaaaa????
0 Comments