Hii ndio Bukoba Airport kwa jamaa zangu wa kujisifia wenyewe bila kusifiwa....Nilitegemea Lami kuwa nyeusi ila hapa naona full damu ya mzee,inaelekea Bukoba ni Dongo la nguvuu,ukienda na shati lako jeupe aaah..