Raia wenye msimamo mkali nchini Misri wakifurahia kwa nguvu zote kuona Hosni Mubarak katangaza kuachia nchi kama raisi.Watu walifanya Ibada maalumu kwa kusikia kauli ya bwana Mubarak kuachia madaraka.
Jeshi la Misri limesisitiza kuwa litazingatia makubaliano yote ya kimataifa.
Wananchi wa Misri wakifanya Ibada ya pamoja kushukuru kwa MUNGU kwamba dua zao walizokuwa wakiomba kuhusu Hosni Mubarak ang'atuke madarakani zimekubalika,Mwanajeshi akikatiza mbele yao kuhakikisha usalama kwa wananchi hao.
0 Comments