Taasisi ya kukagua ubora wa usafi wa vyakula nchini Belgium imepokea malalamiko juu ya usafi wa vyakula vinavyouzwa madukani na mahotelini.Akizungumza kwa jazba kiongozi wa taasisi hiyo "Tumekuwa tukipokea malalamiko siku hadi siku,japo kuwa malalamiko yanapungua ukilinganisha na siku za nyuma ila haipendezi mwananchi anapotoa pesa yake kunnuua chakula kilicho bora badala yake anapatiwa kinyume na anachohitaji"Aliendelea kusema kuwa wiki iliyopita alipokea malalamiko juu ya usafi wa vyakula kwenye migahawa na hali ya usafi wa vyakula kwenye supermarket.Amewataka wananchi kuwa na subira na suala lao litakwisha mapema hivi karibuni,alimaliza.
0 Comments