Vinara wa Ligi Kuu ya soka ya England Manchester United, imezidi kujiimarisha kileleni baada ya kuwararua Wigan 4-0 na kuweka wigo wa pointi nne dhidi ya Arsenal wanaoshikilia nafasi ya pili.Pichani wachezaji wa manchester wakishangilia kwa pamoja ushindi huo.