Inasemekana karibu watoto 1000 kila mwaka wanapelekwa hospitalini wakiwa majeruhi kutokana na kuanguka juu ya vitanda vyao.Majeruhi wengi wanaopelekwa hospitalini hapo ni kati ya umri wa mwaka 1 mpaka miaka 2 kwa mujibu wa msemaji wa chumba cha majeruhi hospital za Amerika.
Wazazi inashauriwa kuwaangalia sana watoto wenu kwa kila kitendo wanachofanya, kwani kwa kumuangalia huko kutasaidia sana usalama wa mtoto wako.
0 Comments