Pichani kulia ni bondia toka Phillipinnes Nonito Donaire akimshambulia kwa ngumi za mfululizo bondia mwenzake Raul Marinez toka Mexico katika mpambano wa kugombea mkanda wa uzito wa kati tarehe 19 april 2009,refa wa pambano alisimamisha mchezo na kumpatia ushindi Nonito baada ya kuona Raul yuko katika hali mbaya.Jumamosi ya leo bondia bingwa Nonito Donaire anaingia tena ulingoni jijini Las Vegas Nevada kupambana na bondia Fernando Montiel.
0 Comments