Prezidaa wa Amerika Barack Obama akiwa katika moja ya misikiti aliyozuru nchini Indonesia kipindi cha ziara zake siku za nyuma,hapo alikuwa akiingia msikitini, na mtu ili uingie nyumba Takatifu lazima uvue viatu,Mzee mzima hakuwa na jinsi ilibidi avue viatu na kuchukua udhuu na kilichofuata sijui wajameni mtanisamehe.nimesema MTAKA CHA UVUNGUNI SHARTI AINAME je Obama kainama?Angalia...
0 Comments