Tamasha la kila mwaka la SAUTI YA BUSARA linaendela kupendeza mjini magharibi Unguja,kama ujioneavyo mambo yalikuwa mazuri na ya kuvutia kwa kila mmoja.
Wazungu huwa hawajiweki nyuma pale wanaponogewa na ngoma zetu za Asili ya Tanzania.Pichani kama ujioneavyo kila mmoja kapandwa na mzuka na midadi ya muziki.
0 Comments