Kwanza hawa jamaa wapo kama walivyozaliwa,Pili hawajali kabisaa kuwa wapo hivyoo,Tatu huwa majasiri sana hawaogopi hata simba,Nne angalia huyu jamaa anayemnyoa mwezie jinsi stuli anayoitumia kukalia.