Habari zenu wapenzi wa Magangaone Blog.Napenda kuwataarifu kuwa msiba wa mama umekwisha salama na nawashukuru kwa wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine.Ni vigumu kuwataja wote ila nawashukuru sana tena sana na MUNGU atawalipa kwa wema wenu Insh'Allah.

Narudi katika kurasa zetu kama kawaida katika kuelimishana na kuburudusha,nawaomba tuwe pamoja kama kawaida katika kupeana habari,kurekebishana kwa njia ya maoni na mail kupeana matukio ya sehemu mbalimbali duniani kwa njia ya mail kama kawaida.Ahsanteni,Maganga One.