Siku za usoni mambo ya kuzaa yatakuwa ni ya kisasa kabisaa,yani ni full Teknolojia kutakuwa hakuna haja ya kuhofia kukaa na tumbo kwa miezi 9 wala nini...kutakuwa hakuna haja ya kukaa Leba kwa kina mama.kama ujioneavyo pichani hivyo ndivyo itakavyokuwa.