Kila kona ya dunia utakutana na aina hii ya masoko,pichani nchini India watu wakijipatia mahitaji yao kwa bei ya mapatano kama tulivyozoea nchini kwetu kupenda dezo kwa kupatana bei kisha unabambikiwa minyanya iliyooza.