Nikifanya tathmini ya harakaharaka kati ya maraisi wengi toka barani Afrika wametokea kwenye shule kama hizi,na hii inaonyesha jinsi gani watoto wa wakulima au watu wenye kipato cha hali ya chini kabisaa wanavyokuwa na uchungu wa masomo yao tofauti na wale watoto wenye kupata kila aina ya mahitaji na kujikuta akili zao hazifui dafu kwa wala mihogo wa mikoani.Pichani hapo ni moja kati ya shule zilizopo vijijini nchini Tz watoto wakiwa katika kipindi cha mapumziko.