Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda ameelezea uchaguzi mkuu nchini humo kuwa ni "kashfa ya kushtua" akidai kuwepo njama ovu za kuiba kura.Besigye, ambae aliwahi kuwa daktari binafsi wa Rais Museveni, alidai kwamba vikosi vingi vya kijeshi vilipelekwa wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusambazwa katika pembe zote za nchi hiyo "vikitishia kuzuka vita "ikiwa Rais Museveni hatashinda uchaguzi huo.(Pichani ni bwana Besigye ambaye ndio mgombea wa chama pinzani kwa chama tawala cha  Yoweri Museveni).DUUH AFRIKA NI BARA LETU ILA LIMEZIDI,HIVI KWANINI VIONGOZI WANANG'ANG'ANIA MADARAKANI NA HAWATAKI KUWAPISHA WENGINE.?