Mlinzi huyu kavaa miwani meusi kudai kwamba anaona watu vizuri ila watu hawamuoni...Cha kushangaza hapo inaonyesha kabisaa anakoroma kwa usingizi,Ila alipoamshwa alidai kwamba alikuwa kajifanyisha!!na alipoambiwa ondosha miwani basi tukuone macho yako kama ulikuwa hukulala,aligoma katakata na kutishia kupiga watu virungu.