Baada ya kuuawa kwa dereva wa gari ya abiria nchi Belgium na kusababisha madereva wote nchini humo kugoma kwa siku nzima ya jumatatu,Usafiri umerudi tena na hali ya usalama imeimarishwa zaidi kutokana na wasiwasi isije ikatokea hali kama hiyo tena.Pichani ni securty ambao wanalinda amani kila kona ya kituo cha usafiri.
0 Comments