Ugumu wa Maisha,Kuonewa kusikokwisha,Rushwa zilizoota mizizi,Ahadi hewa na Ufisadi dhidi ya viongozi walio wengi madarakani katika bara la Afrika ndio kunawapelekea wanyonge kama huyu kijana hapo pichani,Ebu ona jinsi haki yake inavyomponza na kupoteza matumaini ya maisha yake,Siwezi kuelezea sana nafikiri ujumbe umewafikia wahusika.