Haya kuna watu wanapenda kujionyesha nao waonekane kama nao ni mafundi wa kusoma magazeti ya lugha ngeni'English'Sasa yamemkuta jamaa yetu pichani alipoiona Camera ndio akazidisha ufundi wa kusoma vyema,Duuh hayaa yangu macho...