Waandishi wawili wa habari toka Belgium wamekamatwa jijini Cairo kutokana na sekeseke linaloendelea juu ya siasa nchini humo.Mmoja kati ya alifanikiwa kutorka na mwenzie bado amewekwa kwenye lupango za nchini hiyo.Akieleza kisa hicho baada ya kufanikiwa kutoroka bwana Tim Verheyden(Pichani) anasema kuwa karibu waandishi wote toka nje ya nchi yao wanakamatwa.