Watu wa huduma ya kwanza wakiwasaidia majeruhi 9 walioumia vibaya baada ya gari ndogo kugongana uso kwa uso jijini Cape Town nchini South Africa jana.hakuna aliyefariki kutokana na ajali hii ila watu waliumia sana.picha hii imepigwa kwenye kitongoji kidogo cha Bonteheuwel.
0 Comments