Mfalme wa Belgium Albert II akiwa amewasili Berlin mji mkuu wa Ujerumani kwa ziara ya siku mbili.akiwa nchini Ujerumani mfalme Albert II alikutana na viongozi mbalimbali nchini humo.pichani mfalme Albert akikagua gwaride airport pindi tu alipotelemka kwenye ndege.
0 Comments