Ukibahatika kuizunguka Tanzania vizuri espicial mikoani ndipo utagundua kuwa bado tuna safari ndefu ili kuweka sawa maisha bora ya kila mtanzania.