Mapigano yameshika atamu katika mji wa Abijan nchini Ivory Coast kwa siku ya tatu mfululizompaka kufika jana.Mapigano hayo ambayo yameacha maelfu ya wakazi wa mashariki wa mji huo wakiwa wamekufa kwa mashambulizi.Pichani kama ujioneavyo jinsi wanajeshi wanavyozicharanga risasi kwa wapinzani wao.
0 Comments