Raisi aliyejiapisha mwenyewe na kung'ang'ania madaraka nchini Ivory Coast amekubali kuachia nchi.Umoja wa Mataifa umethibisha matamshi hayo baada ya kuona kwamba mapambano dhidi yake yamepamba moto,bwana Gbagbo ameomba kuthibitishiwa usalama wake na jeshi lake endapo ataachia nchi.
Kama ujioneavyo pichani ni hali ya kila siku inayoendelea nchini Ivory Coast,watu wanauana kila kukicha kisa viongozi wenye uchu na kung'ang'ania madaraka pasipo na kupendwa na wananchi wao.
0 Comments