Kuanzia tarehe 19 mwezi huu wa nne mpaka mwezi wa saba,Kiongozi au wafanyabiasha wakubwa nchini watatekwa,hivyo ametoa tahadhari mapema kwa kila kiongozi kujihadhari na kutekwa na watu wasiojulikana.Shekh Yahya Hussein amekuwa akitabiri mambo mengi na kwa wanao amini uamini.