Jackline Pentzel (jacky wa chuzi) pamoja na Miriam jolwa (Jini kabula),madai waechoshwa na wanaume wanataka radha mpya kimapenzi.Kwa staili hii kizazi kijacho familia itakuwa sio taasisi ya kujenga maadili kama mama zetu hawa wa siku za usoni kujumuika katika matamanio ya jinsia moja.(Picha na habari toka Unique E.)
0 Comments