Mmoja wa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi akijipatia dozi yake ya ugonjwa huo,inashauriwa mgonjwa yoyote wa ukimwi aliyethibitika na kupatiwa dawa hizo asiache kutumia dozi kama alivyoelekezawa na daktari,kwani kwa kutokufanya hivyo inakuwa hatari zaidi kwa kujiongezea hathari zingine.