Aliyejitangaza mwenyewe kuwa rais bwana Laulent Gbagbo mwenye shati la kijani aliyekaa na mkewe Simone aliyeinamisha kichwa chini pamoja na mtoto wao wa kiume Michael mwenye kofia nyeusi wakisubiria makofi na kupelekwa msobemsobe na wanajeshi waliompinga bwana Gbagbo kwa kuwaongoza kimababe.
0 Comments