Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk. Richard Sezibera akila kiapo katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya hiyo mjini Dar es Salaam. Kushoto anayemuapisha ni Jaji, Dr Ruhangisa John. (Picha na Robert Okanda)