Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA), Kofi Annan, akizungumza wakati alipotembelea mashamba ya kilimo mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa bodi ya AGRA na viongozi wa Serikali ya mkoa huo.
0 Comments