Timu ya Rock Stars imeshinda kuuchezea vyema uwanja a nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya goli 2 - 2 na Bongo flava toka Dar es Salaam.Pichani wachezaji watimu zote mbili wakisalimiana kabla ya mpambano kuanza.