Wapenzi wangu wote wa Maganga One Blog Nawaomba msamaha kwa kutokuwa hewani kwa masaa kadhaa leo hii,na hii inatokana na kupatwa na dharura ya ghafla.Ila punde nitakuwa hewani kama kawaida na kuwaletea habari nilizozikusanya kama kawaida yetu.Nategemea mtanisamehe na kujumuika nami katika kupata na kuleta habari kama kawaida.
Ahsanteni Maganga One.
0 Comments