Afisa wa polisi akiikagua mara mbilimbili bastora ambayo walikuwa wakiitumia watuhumiwa wa ujambazi jijini Mwanza jana.Kama ujioneavyo pichani mmoja wa majambazi hayo likiwa chini hoi baada ya kupigwa risasi.
Askali akichukua maelezo ya tukio zima jinsi majambazi hayo yalivyodhibitiwa na askali baada ya kupokea risasi na kukubali matokeo kama uwaonavyo wapo chini bila fahamu vichwani mwao.
Baada ya kupigwa picha na kuchukuliwa maelezo juu ya ujambazi wao,polisi waliwatupia majambazi hayo kwenye gari la wazi na kuwapeleka hospitalini.(Picha zote na Gsengo)
0 Comments