Rais wa Somalia Shekh Shariff Ahmed akikagua gwaride mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Tanzania uwanja wa mwalimu Julius K.Nyerere.
Mara baada ya kuwasili raisi wa Somalia alilakiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania Jakaya M.Kikwete na baadae kuelekea Ikulu kwa mazungumzo zaidi.(Picha na Freddy Maro)