Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani katika serikali ya Rais Gbagbo was Ivory Coast amefariki dunia leo katika hospitali ya serikali Abidjan. Habari kutoka Ivory Coast zinasema kuwa Bwana Desire Tagro, amefariki kutokana na majeraha aliyopata wanajeshi wa upinzani waliposhambulia nyumba yake.
0 Comments