Raisi a Marekani bwana Barack Obama,ametangaza nia ya kujianzishia Kamapeni za chinichini ili kujiimarisha kwa miaka michache aliyokaa madarakani.Akizungumza ndani ya ofisi yake iliyopo White House,raisi Obama amesema itakuwa vyema kwa upande wake kuanzisha kampeni mapema na wanachama wake.