Kuanzia jana tarehe 1 mwezi April imeanzishwa sheria mpya nchini Belgium kuwa kwa waendesha baiskeli kuzingatia kanuni zote za uendeshaji a vyombo hivyo.Njia zote zitumiwazo kwa waendeshaji zimeongezwa na ule utata uliokuwepo hapo awali haupo tena,sasa fanya kosa lolote uone faini yake.
0 Comments